Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Mwenyewe hawez kukubar kukuacha apa lazima zijulikane mbivu na mbichiii...ila wewe nakupa salutii naona siku hz wauzavitumbua sio wako tena
Nimeamua kuapugredi viwango(TT)
Mwenyewe hawez kukubar kukuacha apa lazima zijulikane mbivu na mbichiii...ila wewe nakupa salutii naona siku hz wauzavitumbua sio wako tena
Naonaaa .....keep advacing japo yule mtoto wa kihindi alikuzungusha sanaNimeamua kuapugredi viwango(TT)
Naonaaa .....keep advacing japo yule mtoto wa kihindi alikuzungusha sana
Sema uliogopa vizinga make kila saa yeye anacheza na matoleo ya simu mara iphone 7 wakat wewe ata emoji haina......pilipili sasa, lol! Mtu mwenyewe mhindi Koko lakini anakula pilipili utasema ubuyu
Sema uliogopa vizinga make kila saa yeye anacheza na matoleo ya simu mara iphone 7 wakat wewe ata emoji haina
Ila mm weekend yangu iko poa sana...Ha ahahhahahaha, umenikumbusha viemoji bhana, ujue simu yangu haina kabisa ukiacha vile vya mtu.
Ngoja ninunue Samsung Galaxy maana hi sangsong galacha ni shida.
MmeanzaaaBinamu unachonifanyiaa sio fair ...nimepata habar zako

Ha ahahhahahaha, habari zangu kuzipata ni muhimu, cha msingi ni je umeziamini?

Wee kuziaminii inahitajii vitendo changamshii....ila wewe mbaya kumbe ulikuwa silias

NamshangaaaNini tena my super mpenzi
Fumbo tata.......,yeah! Was serious like heart attack! Ila you know kila mmoja na namna anavyoyaangalia masuala ya msingi!
Wakati moja humuita mbili, tatu huchelewa sana kumuita nne na tano, so bora kubaki na moja mbili tu.
Nimekupata na kukusoma vizuri najua kwenye mambo ya msingi kama hayo hukoseagiii ....sema wewe kiboko ebhu nambie kwanza ulimtoa wapii huyu msomalia ?
Make anaonekana kanona kweliii ..m.kizuri hautumii na ndugu yako

Wameanza hawa na vistori vyaoNawasalimu tu mimi jamaan mtu na anko wake wa damu kabisa
Binamu wangu namkubariiiWameanza hawa na vistori vyao
....usiseme kwa sauti , hujasikia wahamiaji haramu wameamliwa kurudishwa? Sasa hapa ndo namshawishi aseme kazaliwa Nzega

Mwenyewe hawez kukubar kukuacha apa lazima zijulikane mbivu na mbichiii...ila wewe nakupa salutii naona siku hz wauzavitumbua sio wako tena

Mmmmh!!!!Naonaaa .....keep advacing japo yule mtoto wa kihindi alikuzungusha sana