Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Muziki wa Wapendanao
Huu ni kwa hisani kubwa ya husna muba , hajasema anadedicate kwangu au kwa Makapuku wote Jambo ambalo ni la msingi sana






Muziki wa Wapendanao
Huu ni kwa hisani kubwa ya husna muba , hajasema anadedicate kwangu au kwa Makapuku wote Jambo ambalo ni la msingi sana






Asante sana Binamu yangu kipenzi kwa kuifanya jumapili yangu iishe vizuri barikiwa sana sana![]()
Majungu gani tena shemelaWameshakunywa shemela kwenye majungu yako naona umeshangia
Hivi binamu lini utaacha uongo jaman huo msimu wako utupeee unakudanganya hakuna emoji wala niniAsante kwa mibaraka!
Nimeongezea na emoji hapa chini ufurahi zaidi
Mambo ya vinywaji jaman shemela yanaingiaje jamanMajungu gani tena shemela
Wageni huwa wanapewa vinywaji kama wapo nyumbaniMambo ya vinywaji jaman shemela yanaingiaje jaman
Hawapo nyumbani shemelaWageni huwa wanapewa vinywaji kama wapo nyumbani
Muziki wa Wapendanao
Huu ni kwa hisani kubwa ya husna muba , hajasema anadedicate kwangu au kwa Makapuku wote Jambo ambalo ni la msingi sana
Haya shemela, wewe umewaonaje sasaHawapo nyumbani shemela
Amen,ubarikiwe Mtumishi!Ee Bwana Mungu wangu nakulilia ukaniponya
Umeniinua nafsi yangu Ee Bwana kutoka kuzimu umenihusisha nafsi yangu![]()
ZABURI 30:1-2
MUWE NA USIKU ULIO MWEMA KWENU DAMU YA YESU UWALINDE![]()
Muziki wa Wapendanao
Huu ni kwa hisani kubwa ya husna muba , hajasema anadedicate kwangu au kwa Makapuku wote Jambo ambalo ni la msingi sana
asante mpendwaHivi binamu lini utaacha uongo jaman huo msimu wako utupeee unakudanganya hakuna emoji wala nini
Huyu anatumia Siemens mayai nimemshari atAfute hata tecno kagomaHivi binamu lini utaacha uongo jaman huo msimu wako utupeee unakudanganya hakuna emoji wala nini
Nimewaona kapuku jamaan shemela nini jamaanHaya shemela, wewe umewaonaje sasa
Barikiwa na wewe dume jeuriAmen,ubarikiwe Mtumishi!
Muziki Jumapili: Family Day
Hakuna ubishi kuwa Jumapili ni siku ya familia, tunakaa pamoja kuongea na mara zote hii huwa ni siku ambayo wote tunakaa mezani kula na kunywa pamoja. Ni wakati huu ambapo maswali huulizwa, majibu hutolewa na ukweli ni mwingi kuliko uongo, uongo? Siongopi na ninasema kweli kabisa kuwa salamu ni nusu ya kuonana na ndiyo maana ninakusalimia Kapuku muheshimika sana, u khali gani? Wiki ndo inaanza, juma la kwanza la mwezi mbichi kabisa wa Kenda.
Jumapili hatuna maneno mengi, tunaburudika tu na muziki maana leo ni siku ya familia na sisis kama familia ya Makapuku tuburudike pamoja.
Naanzaje kutumia toleo la zamani ili nijikumbushe nini binamu uhenga auNimeweka jamani, sijaongopa aisee, simu yako nI toleo la zamani, mobitel
Ebu mtaftie mpelekee mpendwa wakoHuyu anatumia Siemens mayai nimemshari atAfute hata tecno kagoma