Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Loh!......pilipili sasa, lol! Mtu mwenyewe mhindi Koko lakini anakula pilipili utasema ubuyu
Loh!......pilipili sasa, lol! Mtu mwenyewe mhindi Koko lakini anakula pilipili utasema ubuyu
Me nishajizoeleaWameanza hawa na vistori vyao
Binamu ebu hivyo viemoji vya mtu vitupiepo hapa nivioneHa ahahhahahaha, umenikumbusha viemoji bhana, ujue simu yangu haina kabisa ukiacha vile vya mtu.
Ngoja ninunue Samsung Galaxy maana hi sangsong galacha ni shida.
Sema uliogopa vizinga make kila saa yeye anacheza na matoleo ya simu mara iphone 7 wakat wewe ata emoji haina

Ha ahahhahahaha, umenikumbusha viemoji bhana, ujue simu yangu haina kabisa ukiacha vile vya mtu.
Ngoja ninunue Samsung Galaxy maana hi sangsong galacha ni shida.

Hajakuuliza lakiniIla mm weekend yangu iko poa sana...
Poa tu my spidermanNini tena my super mpenzi

Binamu ebu hivyo viemoji vya mtu vitupiepo hapa nivione
Ndio niwekee binamu nivione basiNinatest tu mitambo
Hiii...!!! Wee VP?!Namshangaaa
Sasa mi nifanyajee?!Binamu wangu namkubariii
We binamu acha uongo jaman emojiii zipiiiiii
Muziki Jumapili: Family Day
Hakuna ubishi kuwa Jumapili ni siku ya familia, tunakaa pamoja kuongea na mara zote hii huwa ni siku ambayo wote tunakaa mezani kula na kunywa pamoja. Ni wakati huu ambapo maswali huulizwa, majibu hutolewa na ukweli ni mwingi kuliko uongo, uongo? Siongopi na ninasema kweli kabisa kuwa salamu ni nusu ya kuonana na ndiyo maana ninakusalimia Kapuku muheshimika sana, u khali gani? Wiki ndo inaanza, juma la kwanza la mwezi mbichi kabisa wa Kenda.
Jumapili hatuna maneno mengi, tunaburudika tu na muziki maana leo ni siku ya familia na sisis kama familia ya Makapuku tuburudike pamoja.
asante binamu obe naomba nipigie wimbo Wa "machozi" Wa komando jaydee mtalaka Wa gadnaAminBinamu obe popote ulipo naomba nyimbo ya Martha Mwaipaja Naiona kesho yangu ilyopangwa na Munguubarikiwe sana binamu