Binamu unachonifanyiaa sio fair ...nimepata habar zako
Wee kuziaminii inahitajii vitendo changamshii....ila wewe mbaya kumbe ulikuwa siliasHa ahahhahahaha, habari zangu kuzipata ni muhimu, cha msingi ni je umeziamini?
Wee kuziaminii inahitajii vitendo changamshii....ila wewe mbaya kumbe ulikuwa silias
Nimekupata na kukusoma vizuri najua kwenye mambo ya msingi kama hayo hukoseagiii ....sema wewe kiboko ebhu nambie kwanza ulimtoa wapii huyu msomalia ?.......,yeah! Was serious like heart attack! Ila you know kila mmoja na namna anavyoyaangalia masuala ya msingi!
Wakati moja humuita mbili, tatu huchelewa sana kumuita nne na tano, so bora kubaki na moja mbili tu.
Ha ahahhahahaha, habari zangu kuzipata ni muhimu, cha msingi ni je umeziamini?
Wee kuziaminii inahitajii vitendo changamshii....ila wewe mbaya kumbe ulikuwa silias
.......,yeah! Was serious like heart attack! Ila you know kila mmoja na namna anavyoyaangalia masuala ya msingi!
Wakati moja humuita mbili, tatu huchelewa sana kumuita nne na tano, so bora kubaki na moja mbili tu.
Nawasalimu tu mimi jamaan mtu na anko wake wa damu kabisaNimekupata na kukusoma vizuri najua kwenye mambo ya msingi kama hayo hukoseagiii ....sema wewe kiboko ebhu nambie kwanza ulimtoa wapii huyu msomalia ?
Make anaonekana kanona kweliii ..m.kizuri hautumii na ndugu yako
HaswaaNawasalimu tu mimi jamaan mtu na anko wake wa damu kabisa
Kweli kabisa


Nawasalimu tu mimi jamaan mtu na anko wake wa damu kabisa
Asante binamu.....na mimi ninakisalimu aunty yangu wa ukweli! Uko mzima lakini jioni hii?
Nimekupata na kukusoma vizuri najua kwenye mambo ya msingi kama hayo hukoseagiii ....sema wewe kiboko ebhu nambie kwanza ulimtoa wapii huyu msomalia ?
Make anaonekana kanona kweliii ..m.kizuri hautumii na ndugu yako
Mwenyewe hawez kukubar kukuacha apa lazima zijulikane mbivu na mbichiii...ila wewe nakupa salutii naona siku hz wauzavitumbua sio wako tena....usiseme kwa sauti , hujasikia wahamiaji haramu wameamliwa kurudishwa? Sasa hapa ndo namshawishi aseme kazaliwa Nzega