Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Achana naoYaani rafiki kipenz hawa wanataka kuchafua lakini tukiamua kulianzisha kisawasawa watu wataenda kulala mapema.
Wala hamna sababu ya kulianzisha mkuu....Yaani rafiki kipenz hawa wanataka kuchafua lakini tukiamua kulianzisha kisawasawa watu wataenda kulala mapema.
Em nipigie bhanaa...Eeh...
Au ni huku nilikojichimbia nini?
Za Moshi,arusha au muhezaNzuri
Usiku mwemaHuku wamekata umeme Na simu imemaliza chaji! Du
DJ sepetu
MwanzaZa Moshi,arusha au muheza
Wewe Mke wa T usitutafutie tabu na T.Mmmmh
Sawa kipenzi cha babu akee Shunie
Pole kwa usumbufuWala hamna sababu ya kulianzisha mkuu....
Kuwa na amani kabisaa.... Ilikuwa ni ujinga wangu tuu....
Nimekoma kuquote watu.....
Kula Sato kwa raha zakoMwanza
Husna yuko hapaMukuru wewe ndo unaniponda sio Lee!
DJ sepetu




Kwa hio wanawake poa.... Wanaume shida..... Unajua unatutia wasiwasiSie wanawake ujue
Usijali
Ndo maisha Shem... AsantePole kwa usumbufu
Msameh tu leo.. ....naona vile alivogombezwa na Shunie kaamua atuvuruge sisi amalize machungu yake.Yaaan heshima yangu kwako imeisha leo sikuwahi kuwaza kama na wewe una mawazo finyuu na ya kipumbavuu kama hayo
UmeonaeeKula Sato kwa raha zako
Muziki: Wewe Ni nani Tusipokuwaangalia
Kuna siku huwa zinakuwa tofauti na siku nyingine, unaweza kukubali au suikubali na kukataa na kukubali kwako hakubadili kitu maana kila mmoja anabaki kuwa yeye kama yeye na si yeye kama wewe. Kila mmoja anapambana na hali yake tu. Ninakusalimia Kapuku mheshimika na unajua kabisa ninakuthamini sana kila wakati ninapokuwa ninatembelea hapa. Asante kwa kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa.
Usijiulize kwanini maaana kwanini ni mwanzo wa ugomvi, mimi nimesema tu siku zinatofautiana na leo ni siku ya mwanzo kabisa wa mwezi, tarehe mosi na nzuri zaidi imeangukia kwenye sherehe za Maulid, usinilaumu kwa kutokukukaribisha kwenye sikukuu hii ya kuchinnja maana nimejitahidi sana nimechinja matembele na sikujua kuwa yana supu nzui kwa afya, asante mzee wa hapa kazi tu. Nimekaa Ijumaa leo na mwenye nyumba wangu tunagonga moja moja na kila mmoja anajilipia kiasi anachokunywa, na kodi ndo nimemkabidhi na simwangalii maana nataka nijue yeye ni nani nisipokuwa namwangalia
Muziki sasa, leo taratibu na country haijawahi kumuangasha mtu, kila ninapokosa kinachokupendeza basi muziki wa country ndo unaokuwa chaguo langu la kwanza maana huniangalii na hatuangaliani siku hii tunaposheherekea Eid
NAOMBA UNISAMEHEKwa hio wanawake poa.... Wanaume shida..... Unajua unatutia wasiwasi