mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
La Omo Au la foma????Nisamehe bure wala sikuwa na nia mbaya.... Naona Mapovu tuu mpaka naogopa....
Am sorry





Hizo zitakuwa chuki sasa?Wala hamna sababu ya kulianzisha mkuu....
Kuwa na amani kabisaa.... Ilikuwa ni ujinga wangu tuu....
Nimekoma kuquote watu.....
MkuuLa Omo Au la foma????![]()
Sio chuki, nimejifunza kitu hapa..... Sio kila mtu wa kutaniana nae... Naomba yeshe
Nawe pia shemeji sakayoHaya
Ulale unono shem akee
Vinyongo vimekatazwa na dini zoteUsijali
Hutoona tena nimekuquote mkuu.... Nafikiri leo ni mara ya mwisho
AsanteNawe pia shemeji sakayo
AsanteHongeraa
Tulia shemejiMkuu
Please... Sitaki hiziiii mambo mimi, hope wanijua, Sipendi kumkwaza mtu
Sio kinyongo, kimya ni jibu pia...
Huko kutulia veepe...Tulia shemeji
Sorry bwana Yaishe... Unajua nilitoka kidogo niliporudi najibu tu quotes bila kujua mmeshayamaliza na Lee.Sasa nimebadilishwa jinsia Na mzeewakuwangoa!
DJ sepetu
Sakayooo!Huko kutulia veepe...
Em Mwambie huyoo babu yenu asiniquote basi
Ujue Nasubiria call yako eeehhSakayooo!
Bado tuu ?
Weee sijui simu iko silence...Ujue Nasubiria call yako eeehh
Fanya kama huoni shemejiHuko kutulia veepe...
Em Mwambie huyoo babu yenu asiniquote basi