Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Oooh lakini sijasema kuwa wewe ni mwanamke na wala sijakuquote weweUlisema jf id fake so lolote linawezekana!
DJ sepetu
Oooh lakini sijasema kuwa wewe ni mwanamke na wala sijakuquote weweUlisema jf id fake so lolote linawezekana!
DJ sepetu
Kanifokea kweeeli leoKutakuwa kuna kitu kafanya kibaya..![]()
Achana naee ...na wewe ukome kuingiliaa mambo yao acha wapambane na hali zaooHongera anayoongelea yeye sababu watu wanampa hongera yeye sijui sasa mimi sijapenda alivyonishtumu na wakati sijampa kabisa hongera niliuliza tu
Usicheke mume wangu.... Umeanza lini kutoa siri za ndoa loveHahahaaaa...
Wacha nichekee tuu
Mimi nimeona toka asubuhiBabu akee Shunie
Hayo maneno ya kuitana rafiki kipenzi kwa men mmmmh.... Pana ukakasi hapo
Cc Shunie
MmmmhNipo apa mama n sababu najua baba d ni rijal dada
Unajua hilo jina Muosha rungu ni tungo tata..... Unaweza kua unaosha rungu lako au unaosha marungu ya wengine.Mukuru wewe ndo unaniponda sio Lee!
DJ sepetu
MsameheHongera anayoongelea yeye sababu watu wanampa hongera yeye sijui sasa mimi sijapenda alivyonishtumu na wakati sijampa kabisa hongera niliuliza tu
Tatzo nyie mawazo yotee yanawazaaa ufiranajiiii ...ndo maana nimekuuliza jinsia yakooMimi nimeona toka asubuhi![]()
![]()
DJ sepetu
Kwani tatizo ni nini dada nikikuita wewe rafiki kipenzi kuna shida gani jaman me sioni shidaMmmmh
Ko unabariki hiyo tabia eeehh
Haileti maana poa ujueTatizo nini apo?
Bhas rafikii ...ebu tuendanee na akilii zao japo sijui wanafikiriaa nnTatizo nini apo?
Nimejikuta nacheka sio kwa kukomeshwa hukuAchana naee ...na wewe ukome kuingiliaa mambo yao acha wapambane na hali zaoo
SijapendaMsamehe
Asubuhi si Ulikuwa wamtetea au
Mbona hujakemea sasaMimi nimeona toka asubuhi![]()
![]()
DJ sepetu
Tabiaa ganiiiMmmmh
Ko unabariki hiyo tabia eeehh
MmmmhTatzo nyie mawazo yotee yanawazaaa ufiranajiiii ...ndo maana nimekuuliza jinsia yakoo
Sie wanawake ujueKwani tatizo ni nini dada nikikuita wewe rafiki kipenzi kuna shida gani jaman me sioni shida
Yaaan heshima yangu kwako imeisha leo sikuwahi kuwaza kama na wewe una mawazo finyuu na ya kipumbavuu kama hayoHaileti maana poa ujue
Samahani ka nimekukwaza mkuu
AnywayKwani tatizo ni nini dada nikikuita wewe rafiki kipenzi kuna shida gani jaman me sioni shida