Umejuaje kama mimi mpweke kaka ?Shem lizzie karibu naona bro th name mpweke sana
Duuh hii iko taabani sanaMwanamke kama hataki mwache aende zake, Usimbake.
Sioni ucheshi wakoUmejuaje kama mimi mpweke kaka ?
Si useme ww timu zako ni Chelsea na Kimba SCBitoz timu yangu ya kwanza imeenda fainaly ya pili naisubiria man city kama huamini basi
Unajua JF kuna kitu kinaitwa PM?Sioni ucheshi wako
Ni nzuri asee, vipi upande wako.Habari ya humu ndani
Yamekuwa makubwa leo, sijui huyu mwanamke alikuwa anatafuta tension kwangu mie na mashemeji zake?Naona kimenuka humu![]()
![]()
Lakini we si bado unampenda au??Ndo alivyosema dada yangu.
Tatizo ni nini hasa kaka maana ni balaaYamekuwa makubwa leo, sijui huyu mwanamke alikuwa anatafuta tension kwangu mie na mashemeji zake?
Hata sijui kwa kweli.
Mwache aamue, maana hata yeye huenda kamzimikia youngblood.Shost mhurimie jamani, punguza ukali
Nilikuwa nampenda sana, ila kwa kauli alizozisema hapo mwanzoni nadhani hata wewe uliona sina kingine cha nyongeza.Lakini we si bado unampenda au??
Mke wangu leo amekuja na stori kwamba anaujauzito ambao unaonekana sio wa kwangu, na ikaonekana dhahiri kwamba atakuwa ana date na kijana youngblood. Ndo maana majigambo ya huyu kijana yamezidi kuongezeka kila kukicha.Tatizo ni nini hasa kaka maana ni balaa
We kwani humpendi tena??Mwache aamue, maana hata yeye huenda kamzimikia youngblood.
Ndivyo ilivyo.Inasemekana aggyjay ana mimba ya youngblood sasa ndo EMMYGUY kamkataa huku bado anampenda!
Pia EMMYGUY anaamini kuwa mimba sio yake wala ya youngblood inaweza kuwa ni ya mtu mwingine kabisaaa
Ameanza kuleta mawenge, simtaki tena. Nataka niwe kama wewe dada yangu ili nipunguze na saga mtaani.We kwani humpendi tena??