Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Humu kuna mambo sana basi tu![]()
maana hakuna namna nyingine
![]()
![]()
![]()
Humu kuna mambo sana basi tu![]()
maana hakuna namna nyingine
![]()
![]()
![]()
KwakweliAtumbuliwe tu
Japo lipo makalioni hakuna namna mkamateni apasuliweAtumbuliwe tu
Cc youngbloodJimena hili ni tezi
HahahaKwakweli
Japo lipo makalioni hakuna namna mkamateni apasuliwe
Huyu jamaa noma katuma na foto kabsaaMchungaji umeniacha hoi sana.
Haendani kabisa na anachoandika.Ndo wewe huyu au
Kabisa aisee. Hii ndio JF hahahahHaendani kabisa na anachoandika.
Duh!Japo lipo makalioni hakuna namna mkamateni apasuliwe
Mbona leo mnanichana sana.
Nadhani huku ameingia kimakosa.Huyu jamaa noma katuma na foto kabsaa
Sometimes vitambi vinakosega njia pa kuota, hasa hili jamaa lina kitambi tena smart halijui kuandika, point less, haijulikani anaongea na nani!Haendani kabisa na anachoandika.
Hahaha leo unanifurahisha sanaDuh!
Binadamu wabaya sana.
Bongo raha sana.Sometimes vitambi vinakosega njia pa kuota, hasa hili jamaa lina kitambi tena smart halijui kuandika, point less, haijulikani anaongea na nani!
Duuh maisha bongo rahisi sana

kaungwa na mjombakeNadhani huku ameingia kimakosa.
Asante dada yangu, nitafanya hivyo.Pole sana kaka, siku nyingine ukimpata mwingine mimba iwe ya kwanza
Ndo alivyosema dada yangu.Kwani si kasema hakutaki tena au??
Mwanamke kama hataki mwache aende zake, Usimbake.Emmy + Aggy mje ofisini kwangu tuweke mambo sawa Mungu wetu hapendi kuachana