Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kamuokoe tafadhaliJamaa ameenda kujinyonga
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kamuokoe tafadhaliJamaa ameenda kujinyonga
Ni shiiiiiiiidaHahah chezea kipare wew!
Pole sana kaka, siku nyingine ukimpata mwingine mimba iwe ya kwanzaYamenikuta mie.
Hahahaaa...Kitambi bila elimu ni Mimba.
Dunia hadaa walimwengu shujaaAma kweli...
Asante sana kaka... Iam super humbledDeeply from me, hongera sana dada kwa kuifikia post ya 27k.
Hahahahaa...
Asante sana my bro........ a k a fake pastorHongera my sissy
Hiyo [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] inawezekana kwa 100% sikubishiiUkute naye kasingiziwa tu siyo yake.
Hahahaaaa...
Ni kweli kabisa.Dunia hadaa walimwengu shujaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji173] you my sissyAsante sana my bro........ a k a fake pastor
Asante sana, nimefurahije sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera sana naona 27000
Hebu tupate mvinyo sasaAsante sana, nimefurahije sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mara ya kwanza
Kwani si kasema hakutaki tena au??Mwambie awaombe msamaha mashem na ma wifi zake kwa tukio lililojitokeza.
Naona watu wanaachwa humu. Ndo maana wana hasira na couples nyio.Kwani si kasema hakutaki tena au??
Emmy + Aggy mje ofisini kwangu tuweke mambo sawa Mungu wetu hapendi kuachanaNdo ukweli huo, ila mimi nimeamua kumwachia kwa roho safi kabisa. Sina kinyongo.
[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] cheersHebu tupate mvinyo sasa
Atakuja soon[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
Cc Wifi lizziebettie