EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hata sina woga wowote, go on.Usiogope brother.
Hata sina woga wowote, go on.Usiogope brother.
Ukute naye kasingiziwa tu siyo yake.Ama kweli una shabaha![]()
![]()
![]()
Pole mkuu naona msambaa anataka kuvunja ndoa yako,ciwajua hawa ni wadogo zake shetwani!Hata sina woga wowote, go on.
Hongera sana naona 27000Sasa akiwa ndugu yangu ndo nijue kila anapoenda?? Heee si itakuwa kazi sasa
Mkuu kalamu yangu inamwaga wino ni BALAA.Pole mkuu naona msambaa anataka kuvunja ndoa yako,ciwajua hawa ni wadogo zake shetwani!
Cc Youngblood
Ndo ukweli huo, ila mimi nimeamua kumwachia kwa roho safi kabisa. Sina kinyongo.Pole mkuu naona msambaa anataka kuvunja ndoa yako,ciwajua hawa ni wadogo zake shetwani!
Cc Youngblood
Sina jibu Madam.Usaliti upi
Utakuwa uchafu ndani ya ngoziMkuu kalamu yangu inamwaga wino ni BALAA.
Wewe endelea kushangaa,huku mwenzako EMMYGUY analia....Utakuwa uchafu ndani ya ngozi
Analeta mambo ya whatsapp na fb huyu.Sijaielewa kabisa, jibu gani linatumbuliwa au jipu?? Sasa sikuhizi akili yako hamishia hapa, fb wapotezee tu