Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Natamani ningezaliwa huku.
Sabuni zingepanda bei kwaajili yangu.
Natamani ningezaliwa huku.
Jama bado anahitaji Maelekezo marefu.Analeta mambo ya whatsapp na fb huyu.
Hahahaa...Jamaa hajui kulenga.![]()
usiwe ma hasira mkuu aggy hana chochote ni mzima, bado akupenda, achana na youngblood hana lolote kwanza jogoo hawiki mjini...Ndo ukweli huo, ila mimi nimeamua kumwachia kwa roho safi kabisa. Sina kinyongo.
Mkuu nakwambia ningekuwa huko sabuni zingepanda bei.Ungezaliwa kumbe![]()
![]()
Nahrene kakuacha hakuna wa kukaa nawe,Wewe endelea kushangaa,huku mwenzako EMMYGUY analia....
Kulea mimba ya jamaa mwingine ni shughuli nzito sana, yahitaji mawazo ya ziada.Mshkaji tu,sina mimba wala nin but huyo kakako nlikia namjaribu kama ana moyo wa kusamehe.Kumbe hana!!
Maishani tunakumbwaga na mazito mbeleni na msamaha ndo kila kitu ili safar had uzeej itimie.Kamwambie haya!
Acha kumpa mwenzako matumaini ambayo hayapo,aggyjay alisema kwamba ni uongo baada ya kuona jamaa ametoka ndukiusiwe ma hasira mkuu aggy hana chochote ni mzima, bado akupenda, achana na youngblood hana lolote kwanza jogoo hawiki mjini...
cc
Aggyjay acha kumtishia emmyguy bhana, rudi kwako
akazani labda jamaa ameenda kubugia sumu ya kunguni.
Wapare wako wapi huyu jamaa anawaaibisha sana ukiangalia...avatar yake haifanani na uchangiaji wake au ni KITAMBI BILA ELIMU NINI!Analeta mambo ya whatsapp na fb huyu.
Mwambie awaombe msamaha mashem na ma wifi zake kwa tukio lililojitokeza.
Kitambi bila elimu ni Mimba.Wapare wako wapi huyu jamaa anawaaibisha sana wamsaidie...avatar yake haifanani na uvhangiaji wake au ni KITAMBI BILA ELIMU NINI!
Unategemea kuanza lini?Utumishi bado cjaanza
Slow learner, soma scripts elewa scriptsJama bado anahitaji Maelekezo marefu.
Nipo mwingi sana braza.Jamaa ameenda kujinyonga
Sio riz..Hahahaa...
Inabidi tumtafutie muda aanze masomo ya jioni.Slow learner, soma scripts elewa scripts

My pastaSio riz..