Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Kwamba kazi zimeisha za kufanya. ..Huko kwenye makutano babe
Si bora nicheze kidari poo na devy
Kwamba kazi zimeisha za kufanya. ..Huko kwenye makutano babe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ucheze kombolela na shunie chumbaniKwamba kazi zimeisha za kufanya. ..
Si bora nicheze kidari poo na devy
Yeye bado alikuwa hajaja jf...Ahahhhh ulichokiandika
Hapo sawa T ebu zamapo pm basi ukasafishe kivuli jamanYeye bado alikuwa hajaja jf...
Nilikuwaga na Id ingine..
Ile no. Yake ya Tigo haiko whatsapp?Whatsapp ipiii baba d hayupogo uko hivi kwa nini lakini T
Hahaaaaa[emoji3][emoji3]Marahabaaaa
Jf tamu sana
Salamu unazipata bure kabisa
Na tabia yako ya kujificha kwenye paziaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ucheze kombolela na shunie chumbani
Yamekuwa hayo ya kwenda zimbabwe..[emoji23][emoji23]Sisi hatupo Tz mtatusamehe jamaan ila tutakuwa pamoja jukwaani
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupenda tu mimi jamani[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Baba D hajawahi tumia tigo ujueIle no. Yake ya Tigo haiko whatsapp?
[emoji23][emoji85]Na tabia yako ya kujificha kwenye paziaa
Kwani umefungua pm...?Hapo sawa T ebu zamapo pm basi ukasafishe kivuli jaman
Pole pole mkuuNa tabia yako ya kujificha kwenye paziaa
Hapana T kweli ujue hatupo kwenye jiji la anko maguYamekuwa hayo ya kwenda zimbabwe..[emoji23][emoji23]
Basi bakini Tz tuu..! Hatukutani tena[emoji3][emoji3]
38 mwisho..Baba D hajawahi tumia tigo ujue
Kwa Dada bhanaKwani umefungua pm...?
Hivi Tanroad hawajafika mtaani kwenu tuu?Hapana T kweli ujue hatupo kwenye jiji la anko magu
T kwani we umeelewa veep hapoPole pole mkuu
Huyo aliyekupa kakosea ujue hajawai tumia no inayoishia hivyo38 mwisho..
Dada anakuzingua...! She the real piece of me..Kwa Dada bhana