Makapuku Forum

Huduma zako nazikumbuka ila leo thitakiiii bee (wahehe wanasema akuuuuuu ndemaaaa)
Manuu shem ananituhumu mimi muongo hebu soma hapo juu, anamwambia Youngblood kuwa anazikubali HUDUMA ZAKE unajua ni huduma gani?
Shem akibisha narusha mkanda mzima hewani labda aje pm talizane
Baby usimsikilze jambilo amekumbwa na roho ya uchonganishi na anahitaji Masada WA maombi hata KABUGHA aliishuhudia hii kitu jana

youngblood anakuheshim sana my
 
Soma post #26851 nimeambatanisha ushahidi
 
Soma post26851
 
Manuu shem ananituhumu mimi muongo hebu soma hapo juu, anamwambia Youngblood kuwa anazikubali HUDUMA ZAKE unajua ni huduma gani?
Shem akibisha narusha mkanda mzima hewani labda aje pm talizane
Shem Kwanza wewe unajua Kuna aina ngap za huduma katika dunia hii??

Hebu ntajie huduma mbili tu...
Halafu niambie we ulifikiria ni huduma gan youngblood alinpa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…