Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Haswaaaa
Haswaaaa
Kwema lakini dadaHaswaaaa
Leo katika Historia
1977 - Steve Biko anakamatwa na Polisi huko Afrika Kusini.
Anateswa na baadae kupoteza maisha.
Jomba hicho sio kipaumbele chetuMakapuku followers wanaweza kufikisha replies milioni moja. Wakaweka rekodi isiyoweza kuvunjwa na Uzi wowote ule humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothig honey nimefrah tu na kwot yako babeloveWhat my love
Aaaaaah wangu ni marehem



honey sjui analalaje

haswaa my loveAisee2/ pata kufaham maajabu ya dunia nami niko hapa kukujuza zaidi, je wamjua mbwa mwenye masikio marefu zaidi duniani
Anaitwa Tigger bloodhound masikio yake yana urefu wa 34.92 cm (13.75 inches) masikio yote mawili kulia na kushoto
View attachment 569318
Mbwa buyu alikua akimilikiwa na Bw. Bryan pamoja na mkewe Bi. Christina wa huko St Joseph, III
View attachment 569324
Kwa bahati mbaya mbwa huyu alifariki mwaka 2009 baada ya kuingia rasmi kwenye kitabu maarufu cha orodha duniani "Guiness Book of Records" 29 September 2004
Madame S
Yuko juu aisee4/ achana na mashindano ya kuendesha baiskeli tunayoyaona kila leo, je wamjua alievunja rekodi ya dunia kwa kuendesha baiskeli chini ya maji?
View attachment 569340
Si mwengine bali ni bw. Vittorio Innocente, huko Santa Marghenta Ligure, Liguria, Italy (loh mjini kuna miji jamani)
Alivunja rekodi hii akiwa na miaka 62, umbali alioundesha chini ya maji ulikuwa (110 m) sawa na (214 feets) aliendeshea bahatpri ya Mediterranean alichukua dakika 9 tu kuendesha kwenye maji
View attachment 569343
Alipohojiwa kuhusiana na chanagamoto gani alipitia akiwa anaendesha baiskeli hiyo alisema, ilikua ngumu kwake kuendesha kutokana na matope mengi ambayo hakua ameyategemea kukutana nayo huko chini ya maji
Ni rekodi alieivunja kwa mara ya pili baada ya kwanza miaka sita iliyopita, na aliendesha kwa umbali wa (60 m) sawa na (197 ft)
Iliingia rasmi kwenye kitabu cha orodha za waliovunja rekodi zaidi duniani 21 July 2008 huku Bw. Lucia Sinigagiles judge kutoka huko huko World Guinness Records akishuhudia rekodi hiyo akitokea London
View attachment 569352
Madame S
Vip mdau, uko poaKwema tu wadau
Tunaikaribisha week end
.......
Na urefu huu mpenzi wangu kitanda chake kikoje sijui
Bitoz aliwahi kuileta hapa, acheni Mungu aitwe Mungu5/ je uwamjua mtu mrefu na mfupi zaidi duniani?
He Pingping akitokea Mongolia aliweza kuvunja rekodi ya kua mtu mfupi zaidi duniani akiwa na kimo cha urefu wa (74.61 cm sawa na 29.3 inches) akionekana hapa chini kusimama katikati ya miguu nya mdada mrefu zaidi duniani
View attachment 569356
Alikua ni mtoto wa tatu akiwa mtoto wa kiume pekee kwenye familia yao
Alizaliwa akiwa mdogo na ukuaji wake ulikua wa taratibu sana
View attachment 569357
Alifariki baadae akiwa na miaka 21 mwaka 2010 kwa maradhi ya moyo
Pingping alivunja rekodi hii ya kua mtu mfupi zaidi duniani mwaka 2008
Mtu mrefu zaidi duniani
Ni mwanamama Svetlana Prankratova kutokea Russia, ana urefu wa (1.96 m) alizaliwa huko Volgograd, Russia na alishawah kucheza mpira wa kikapu kama basketball chuo mojawapo huko Virginia
Miguu yake peke yake ina urefu wa (51.9 inches) aliolewa baadae na bwana Jack Gosnell na akaacha rasmi kucheza mpira huo na kua kocha wa mpira huo shule ya wasichana iliyojulikana kama George Mason
View attachment 569367
Kabla ya kuolewa, mama huyu alipopata ushindi wa kuvunja rekodi ya mtu mrefu kwa upande wa kina mama duniani, aliukizwa ni changamoto gani anapata akasema changamoto kuu aliyokua akipata kwa wakati ule ni wanaume kumkimbia na kumwambia hawawez kusimama na mtu mrefu kama yeye mda mwengine ilikua ngumu kwake kuopata nguo sahihi za kulalia kutokana na urefu wake
Kwa leo ni hayo tu tukutane siku nyingine
Jumaa Mubaraq!
Madame S
Leo katika Historia
1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.
Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.
Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfanyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.
Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
Pamoja ankali JJAsante ankali
Kuna mambo nchi hii kuyaelewa ni kazi ngumu sanaHii serikali ya wangonge bhana ipo bize na viwanda + bomoa bomoa
Sasa hilo jengo la Yanga nani atalinunua ?
Kuliuza ni kumkomoa nani
Huku si ni kuua michezo tu
Ila kama vile ashaamua wauze basi ili Yanga igeuzwe timu ya kuuza samaki pale Jangwani
![]()
![]()
![]()
.........