isk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 441
- 267
Dah watu wana pita mengi![]()
![]()
![]()
Nani zaidi kati ya Madiba na Kamvarage?
Kwangu mimi Kambarage yupo juu maana harakati zake za ukombozi zilikuwa ni kubwa nje ya nchi....kilichomwongrzea umaarufu Madiba ni kufungwa jela tu na kisha kuwasamehe weupe(makaburu) na ubaguzi wa rangi huko bado unawasumbua
Ujanani alikutana na binti mrembo na mjanjamjanja Winnie ambayo alimsaidia sana kwenye harakati za kisiasa ila akansaliti akiwa jela na ndoa yao kulegalega kisha kutengana
Alaja kumuoa Graca Machel uzeeni ambaye ni mjane waSamora Machel
Alifariki mwaka 2013 akiwa na miaka 95
What a blessing?
.....
Asante cuzoo kwa historiaKwa udhamini wa Chia seeds sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Jina langu naitwa Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye furaha tele![]()
Asanteni sana
KaribuAsante cuzoo kwa historia
Leo katika Historia
1960 - Gabon yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Asante wiiKwa udhamini wa Chia seeds sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Jina langu naitwa Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye furaha tele![]()
Asanteni sana
Asante kwa je wajuaTukutane keshoooo kwa je wajua nyingine kali
Madame S
AiseeLeo katika Historia
1962 - Compact Disc " CD " za kwanza zaanza kusambazwa mtaani huko Ujerumani.
Leo katika Historia
1962 - Peter Fechter anapigwa risasi na kuuwawa na walinzi alipojaribu kuvuka ukuta mpya wa Berlin.
HBD chogoLeo katika Historia
1977 - Thierry Henry anazaliwa. (Imagine pipo walikuwa wanamuita chogo )
Ni mchezaji wa wa zamani wa Arsenal, Barcelona na Ufaransa.
Ni mchezaji bora zaidi wa Kigeni kuwahi kucheza EPL.![]()
HBD jagiekaLeo katika Historia
1982 - Phil Jagielka anazaliwa.
Ni beki wa Everton na timu ya taifa ya England.
Asante ankali JJ kwa historiaKwa udhamini wa Chia seeds sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Jina langu naitwa Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye furaha tele![]()
Asanteni sana
Leo katika Historia
1962 - Compact Disc " CD " za kwanza zaanza kusambazwa mtaani huko Ujerumani.
Leo katika Historia
1998 - Rais Bill Clinton wa Marekani anakiri kupitia tepu zilizorekodiwa kuwa, alikuwa na uhusiano na Monica Lewinsky, mfanyakazi wa ikulu ya Nchi hiyo.
Leo katika Historia
2008 - Michael Phelps anakuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda medali 8 za dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya 2008.