Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170816-WA0037.jpg
 
Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho na jino kwa jino

Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie la pili

Na mtu atakaye kukushtaki na kuitwaa kanzu yako mwachie na joho pia

MATHAYO 5:38-40

Wapendwa usimlipizie mtu chochote kibaya alichokufanyia au atakachokufanyia jifanye mjinga tu we mwambie Mungu Asante tu

Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema
 
1/ mwanaume mwenye maumbile makubwa zaidi duniani

Ni Robert Esquivel Cabrera mwenye umri wa miaka 54 raia wa Mexico, akitokea kijiji kinachojulikana kama Saltillo

Anamiliki umbile la sehem za siri lenye urefu wa 18.9 inches na uzito wa pound mbili

IMG_20170816_151636_048.JPG

Uume wake umemsababishia matatizo kiafya na kutokana na uzito wenyewe jinsi ulivyo unahitaji mto wa kulalia kumuepushia adha na tabu nyakati za usiku

IMG_20170816_151701_440.JPG

Madkatari nchini humo walithibitisha ni umbile halisi na sio udanganyifu wowote na kwa uthibitisho zaidi bwana Robert alipigwa x ray kama inavyoonekana hapa

IMG_20170816_151722_911.JPG

Anasema kua hawezi kuoata lile tendo adhim tendo la ndoa wala mumuingilia mwanamke yeyote yule sababu ya unene wa umbile lake, alishajaribu mara mbili tu kukutana kimwili na wanawake tofauti lakini kati ya mara hizo mbili hakuna hata mara moja iliyowezekana

Mwanamke wa kwanza hakuweza mara baada ya kuona maumbile ya bwana huyu na wa pili yeye akijaribu kabisa lakini aslihindwa kuhimili kutokana na maumivu aliyokua akiyapata

IMG_20170816_151745_743.JPG

Serikali ya Mexico inamtambua bwana Robert kama mlemavu na humsaidia mahitaji muhimu ya mwanadam, alishajaribu kushawishiwa kufanyia upasuaji wa kuuupunguza uume wake ili aweze kua na maumbile kawaida ni imwezeshe kufurahia tendo la ndoa lakini alikataa mara zote zlizofuatwa kuombwa juu ya swala hilo

Mwenyewe anasema kua ana furaha na maumbile yake na anajua hakuna kiumbe chochote chenye maumbile kama yake, anatamani awemo kwenye kitabu cha orodha za waliovunja rekodi za dunia al maarufu kama Guinness Book of Records lakini aliambiwa kwa rekodi yake hiyo haitambuliki

Hajakata tamaa bado anaamini atapata mwanamke mwenye maumbile ya kuhimili umbile lake na zaidi akiona hapati bas anashauku awe porn star

IMG_20170816_151814_947.JPG

Najua ulikua hujui nami niko hapa kukujuza.

Madame S
 
2/ je wamjua mtu mwenye mdomo mpana zaidi duniani?

IMG_20170816_162333_663.JPG

Anaitwa bwana Francisco Domingo Joachim (a.k.a chiquinho) akitokea hukooo Sambizanga, Angola

Mdomo wake umevunja rekodi kwa kua na upana wa 17cm ulipopimwa huko Rome, Italy

Ni bwana kaka mdogo tu kiumri akiwa na miaka yake 20

Tarehe 18 March 2010 aliingia rasmi kwenye orodha za waliovunja rekodi cha Guiness Book of Records

IMG_20170816_162317_684.JPG

Madame S
 
Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho na jino kwa jino

Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie la pili

Na mtu atakaye kukushtaki na kuitwaa kanzu yako mwachie na joho pia

MATHAYO 5:38-40

Wapendwa usimlipizie mtu chochote kibaya alichokufanyia au atakachokufanyia jifanye mjinga tu we mwambie Mungu Asante tu

Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema
Amen
 
1/ mwanaume mwenye maumbile makubwa zaidi duniani

Ni Robert Esquivel Cabrera mwenye umri wa miaka 54 raia wa Mexico, akitokea kijiji kinachojulikana kama Saltillo

Anamiliki umbile la sehem za siri lenye urefu wa 18.9 inches na uzito wa pound mbili

View attachment 568350

Uume wake umemsababishia matatizo kiafya na kutokana na uzito wenyewe jinsi ulivyo unahitaji mto wa kulalia kumuepushia adha na tabu nyakati za usiku

View attachment 568351

Madkatari nchini humo walithibitisha ni umbile halisi na sio udanganyifu wowote na kwa uthibitisho zaidi bwana Robert alipigwa x ray kama inavyoonekana hapa

View attachment 568353

Anasema kua hawezi kuoata lile tendo adhim tendo la ndoa wala mumuingilia mwanamke yeyote yule sababu ya unene wa umbile lake, alishajaribu mara mbili tu kukutana kimwili na wanawake tofauti lakini kati ya mara hizo mbili hakuna hata mara moja iliyowezekana

Mwanamke wa kwanza hakuweza mara baada ya kuona maumbile ya bwana huyu na wa pili yeye akijaribu kabisa lakini aslihindwa kuhimili kutokana na maumivu aliyokua akiyapata

View attachment 568360

Serikali ya Mexico inamtambua bwana Robert kama mlemavu na humsaidia mahitaji muhimu ya mwanadam, alishajaribu kushawishiwa kufanyia upasuaji wa kuuupunguza uume wake ili aweze kua na maumbile kawaida ni imwezeshe kufurahia tendo la ndoa lakini alikataa mara zote zlizofuatwa kuombwa juu ya swala hilo

Mwenyewe anasema kua ana furaha na maumbile yake na anajua hakuna kiumbe chochote chenye maumbile kama yake, anatamani awemo kwenye kitabu cha orodha za waliovunja rekodi za dunia al maarufu kama Guinness Book of Records lakini aliambiwa kwa rekodi yake hiyo haitambuliki

Hajakata tamaa bado anaamini atapata mwanamke mwenye maumbile ya kuhimili umbile lake na zaidi akiona hapati bas anashauku awe porn star

View attachment 568365

Najua ulikua hujui nami niko hapa kukujuza.

Madame S
Aisee duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom