shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Najua sio kweli, haiwezekani ufunge ndoa leo kesho uwe unarandaranda mitaaniFungate lilishaishaga zamani. Alafu haikuwa kweli. Nilikuwa anachangamsha jukwaa tu
Kwema lakini??
Kwema kabisa tetramelyz
