Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Mulemule shemela sijakosea
Mulemule shemela sijakosea
Kweli shemelaImetoka moyoni tena kiroho safi kabisa shemela
Shangaa na wewe my loveHzo shikamoo veeepe
Nawe piaUsiku mwema
AiseeNitavaa sare sare na baba d wangu jamaan shati lake la kitenge na suruali yake nyeusi mkewe kimini juu ya mapaja
Asisahau kukemeaNakupenda tu dada jaman Mungu azidi kuniwekea sakayo wangu mimiulale unono damu ya Yesu ikulinde
Nawe pia mzee wa fungateUsiku mwema famili
Sijatekwa, ni basi tu majukumu. Nakuonaktk muonekano mpya. Mpe hongera baba d kwa niabaTetra aliyekuteka mwambie aendelee hivyo hivyo
Kabisa, harafu mtekaji anajua kutekaTetra aliyekuteka mwambie aendelee hivyo hivyo
Kweli kabisa shemela wa mimiKweli shemela
Fungate lilishaishaga zamani. Alafu haikuwa kweli. Nilikuwa anachangamsha jukwaa tuNawe pia mzee wa fungate
Hahaha, mnaniteta nikiwa nasikia?!!Kabisa, harafu mtekaji anajua kuteka
nimejisikia vibaya jamaan ndio mama akoo huyo au bibi yakoTapatalk Cloud - Downlaoad File VID-20170816-WA0008.mp4
Hilo ndio la muhimu shemela kukemea kutoa mapepo yoteAsisahau kukemea
Ahahha asante zimefika tetra weweSijatekwa, ni basi tu majukumu. Nakuonaktk muonekano mpya. Mpe hongera baba d kwa niaba
Sanaaa anamwachia usiku tu kama nusu saa halaf anampokonya simu yakeKabisa, harafu mtekaji anajua kuteka
Ahaaa umeshaachika eenhFungate lilishaishaga zamani. Alafu haikuwa kweli. Nilikuwa anachangamsha jukwaa tu
Kwema lakini??
Hahahahaa, mtaniuaa jamaniSanaaa anamwachia usiku tu kama nusu saa halaf anampokonya simu yake
Naachika wakati sijawahi kukamatika??Ahaaa umeshaachika eenh