Makapuku Forum

Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya

Basi nawaambia kila neno lisilo maan watakalolinena wanadamu watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu

Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa


MATHAYO 12:35-37

Wapendwa tuwe makini sana na maneno tutamkayo


Niwatakie usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu nawapenda sana mimi Mungu azidi kutuweka tu jaman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…