Aisee kila mtu na ugonjwa wakeKwahiyo Bitoz sisi mabonge ndio ukimaanisha hatubebeki au inakuaje jaman msitufanyie hivyo
Tuache jaman Bitoz kila mtu apambane na hali yake tu jamanAisee kila mtu na ugonjwa wake
Sizimikii kabisa mabonge nyanya ila siwachukii
Wapo pia wasiopenda mifupa
Mapenzi bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Dada yako sakayoSivai shemela napambana na hali yangu jaman mbona mnapenda nivae sweater
Mbezi au msiganiHapana binamu mbezi huku sio mjini sana ila sijakuelewa tu ulivyomaanisha
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwahiyo Bitoz sisi mabonge ndio ukimaanisha hatubebeki au inakuaje jaman msitufanyie hivyo
KizunguzunguAisee kila mtu na ugonjwa wake
Sizimikii kabisa mabonge nyanya ila siwachukii
Wapo pia wasiopenda mifupa
Mapenzi bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......