Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Dada jana acha tu nisamehe ilibidi nizime simu nilikua busy sanaMie Sijambo... Jana ukanizimia simu
Dada jana acha tu nisamehe ilibidi nizime simu nilikua busy sanaMie Sijambo... Jana ukanizimia simu
Ahsante mdauView attachment 567389Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema
Good morning my lovely anika ....Good morning...
Siku hizi sizioni simulizi za matukio na watu mbalimbaliSijui
SawaDada jana acha tu nisamehe ilibidi nizime simu nilikua busy sana
Tunamshkuru Mungu sana tulimaliza salama dadaSawa
Mlimaliza salama lakinii???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje atakujibuMapopo wa nini sie jamaan tena binamu
Ulizimaje shemela, huku uko busy [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dada jana acha tu nisamehe ilibidi nizime simu nilikua busy sana
Nilikua msibani shemelaUlizimaje shemela, huku uko busy [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mungu ni mwaminifu, Poleni mnooTunamshkuru Mungu sana tulimaliza salama dada
Kaaga Jana,kasema atakuwa bize km 3 weeks hvKaenda wapi tena maka jaman
[emoji120] ni kweli dada asante sanaMungu ni mwaminifu, Poleni mnoo
Jamaan nitammiss sana makaKaaga Jana,kasema atakuwa bize km 3 weeks hv
Haya[emoji120] ni kweli dada asante sana
Pamoja sana mdauAhsante mdau
Uwe na Siku Njema
....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi sizioni simulizi za matukio na watu mbalimbali
Sijui hujui kama kuna mashabiki wako
Upo upo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Mme mwee usijali, maana ugali wa D ni muhimu kuuangalia kwa jicho la tatuWakuu kwema ....kumekucha salama
Nimebanwa vile uf na mambo mengine havitokuja kwa wakat tuliouzoeaa
Poleni Sana shemelaNilikua msibani shemela
Asante shemelaPoleni Sana shemela