Makapuku Forum

Obe, Asante !!!
 
[emoji524] Kwa kuwa wewe Bwana ndio kimbilio langu, umemfanya aliye juu kuwa makao yako

Mabaya hayatakupata wewe, wala tauni haitakaribia hema yako

Kwakuwa atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zote [emoji524]

ZABURI 91:9-11

MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA NA MBARIKIWE SANA [emoji120] [emoji7]
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…