Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Tiger
460789561cdf1714e4baf53ec34d6fc5.jpg
87371a6e1ebbbd331c69df9db74cf941.jpg
63a3115be1cbde94440a393fe1a4e58a.jpg

Wanapatikana barani Asia
Chui ni paka mkubwa yaani mnyama jamii ya paka
Sasa kama unamwogopa paka tu pifa hesabu ukikutana na chui itakuwaje
Ieleweke chui hawapo Tanzania bali kuna samaki tu wanaitwa tigerfish pia duma ndio wapo hivyo kuna tofauti kati ya duma na chui
Hawa ni wanyama wakali balaa ila pamoja na ubabe wake ni bingwa wa kulala fofofo
Ukikutana nae we chukua tu smartphone type R.I.P ili kutuepusha na usumbufu

Kwa siku hulala nasaa 15.8
.......
 
7/Human Infant
bb867c40555507cbe545b5fbd255ce9f.jpg
4cf68b4e193fef5c5b52fdade72b42ad.jpg
854a521e1a65e9c137dc0311ba37be8c.jpg

Una mtoto ?
Kama unaye hata wa kuzaa kabla au nje ya ndoa hongera zako maana mtoto ni mtoto tu !!
Waswahili husema asiye na mwana aeleke jiwe hivyo kama huna ntoto kuwa mpole jibebee hata tofali
Hapa nawazungumzia watoto wachanga yaani qaliotoka kuzaliwa ,waliopo tumboni na wale wenye umri mdogo
Kwa nchi zetu hizi za kimaskini vifo vya watoto wachanga ni janga....Mungu hawanusuru
Mtoto mchanga ni mwendo wa kulia,kunya,kunyonya,kulala na kuamka tu zaidi ya gapo labda kupiga chafya na kujamba tu

Kwa siku hulala takribani masaa 16
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom