Makapuku Forum

Makapuku Forum

782f12c3d41bc4d69b5ce40cad740798.jpg
 
TOP TEN
Mzee wa Top 10 jamaa fulani hivi anaanza na herufi T leo sijaona dalili zake za kuiua halafu nimejikuta nipo free rofauti na ratiba yangu hivyo nimeona nishushe vitu tu
Kuna usemi kwamba Aliyelala usimwamshe huu usemi tangu niujue nikiwa Shule ya Msingi Tandake sijawahi kumwamsha mtu hata asinzie darasani atajibeba!!!
Hata Jf ukigundua kuna watu wamelala kifikra,kimawazo,kielimu n.k wewe waache kama walivyo usijitie kiherehere kuwaamsha....ipo siku watashtuka tu wenyewe !!!

Pia inaaminoka kuwa mtu anayelalalala ovyo kamajongoo wakati hana tatizo lolote la kiafya wala ujauzito au uzee ni mtu mvivu ....kulala ni haki ya kila mnyama ila kulala kupitiliza ni dalili ya uvivu ingawa nvhini Finland wana sikukuu kabisa ya kitaifa ya usingizi !!!

Sasa tucheki wanyama kumi wanaoongoza kwa kupiga usingizi duniani
Karibuni
..........
 
TOP TEN
Mzee wa Top 10 jamaa fulani hivi anaanza na herufi T leo sijaona dalili zake za kuiua halafu nimejikuta nipo free rofauti na ratiba yangu hivyo nimeona nishushe vitu tu
Kuna usemi kwamba Aliyelala usimwamshe huu usemi tangu niujue nikiwa Shule ya Msingi Tandake sijawahi kumwamsha mtu hata asinzie darasani atajibeba!!!
Pia inaaminoka kuwa mtu anayelalalala ovyo kamajongoo wakati hana tatizo lolote la kiafya wala ujauzito au uzee ni mtu mvivu ....kulala ni haki ya kila mnyama ila kulala kupitiliza ni dalili ya uvivu ingawa nvhini Finlandwana siku kabisa ya usingizi !!!

Sasa tucheki wanyama kumi wanaoongoza kwa kupiga usingizi duniani
Karibuni
..........
asantee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom