Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Eeerh nimeelewaSweet menthol.. ni sigara pia
Tycoon MAKAVELI Jr.
Madame S
Eeerh nimeelewaSweet menthol.. ni sigara pia
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mwani huu wa kupandwa pwani au?Wee lala tu, sie bado tuna mwani..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Marehem wawatu muacheHalaf wee mtoto wa kike unaringa mwenyewe unajikuta eehh.. hata bi kidude alikuwa binti kama wewe mzur na mrembo kushinda wewe lakin kafa hana hata jino moja...   [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Niwie radhi..Mie sio kikongwe ntake radhi
Madame S
Sasa kama baba sio popoma, inakuwaje npate mtoto popoma..[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiproudishe tu
Madame S
Huo huoo...Mwani huu wa kupandwa pwani au?
Madame S
Same to u..Good night my family [emoji6][emoji6]
Madame S
Ulipost nini jana hadi mondray akasema anajikojolea?Ndio umeshasoma sasa
Madame S
Saawa shem.Tafsiri sio shida ipo day naweza jaribu na mie
Madame S
YesKuhack or?
Madame S
Hahaaa...Postini Picha Picha zile basiiiii
Picha hujaisoma kwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulipost nini jana hadi mondray akasema anajikojolea?
Morning mkuu