Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pesa ndio kila kitu.. wee hangaika na viuno wee, six packs za kutosha ila ujue kuna kibonge mmoja nynya tena mzembe tu anakuibia..

Ukitaka kuishi kwa raha na aman hapa mjin.. uwe na pesa na mbuno ujue kukata, pesa unampa na mbuno unampa..
Msiwasifie mabonge nyanya
Hakuna uhusiano wowote kati ya pesa na unene
Wengine wamejaza minyoo tu
Vitambi ni dalili ya mtu mzembe mzembe na mvivu
Vitambi ndio ufunguo wa geti la maradhi

Tubadilike

......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom