Namba 2.
Lulz Security,
Hili lilikuwa ni group la hackers ambalo limekiwa likifanya udukuzi kwenye mitandao mikubwa .
Lulz Security wamemia computer za FBI nchini marekani , CIA nchini marekani , Scotland Yard, sony na News international ma mitandao midogo midogo mingi.
Hawa walikuwa wanavamia computer na kiweka ujumbe wa " Laughing at your security since 2011!" Wakimaanisha "Tunacheka usalama wa mtandao wako toka 2011"
Mwisho na vunja mwaka wakaamua kudukua jarida la The Sun na The Times kitangaza kustaafu kwao katika kazi za udukuzi wa mitandao ..