Nafurah kuskia hvyo..Tumesalimika tunashukuru
Madame S
Vyovyote vile ila hakuna amina bhna ni amin..Kumbe inaitikiwaje "allahumma taqqabal du'aa ama?
Madame S
Haya maji hayafai kwa wale walenda kwichi kwichi ndan ya maji..
kipimo cha mzee wangu ndio nlikua nakivaa halafu napigapiga huko mbele kwenye kiduara naskia kama mdundo, sasa huyo alieweka kwenye mziki atapata mdundo mzur sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio zako?
Madame S
Hata hiyo ya Rabi utukubalie dua zetu a inafaa[emoji12][emoji12]Vyovyote vile ila hakuna amina bhna ni amin..
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvuHaya maji hayafai kwa wale walenda kwichi kwichi ndan ya maji..
Itakuwa kama wanafanyia kariakoo mchana kweupe[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Utawafanya watu leo watafute alternatives, waingize makopo chumban na wengine walibwande kitandani kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah kumbe unawezasikia nilidhani ni meme tu wameamua kuweka hivokipimo cha mzee wangu ndio nlikua nakivaa halafu napigapiga huko mbele kwenye kiduara naskia kama mdundo, sasa huyo alieweka kwenye mziki atapata mdundo mzur sana
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] je sie wenye vyoo chumban.. ikifika saa 8 za usiku si ndio wanakuja kutuchezea cheketu cheketu mahepe kitandani mwetu kabisa[emoji23] [emoji23]