makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Teh geh teh.. bangi hizo..Kweli yan nikawa najisemea why Taiwan au Dubai
Madame S
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu hatariFull stop
Tycoon MAKAVELI Jr.
Nahisi wewe hapoSasa atakuwa nani..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hahhaha jamaniTeh geh teh.. bangi hizo..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ulichopewa na mungu kumnyima mwenzio vibaya hvyo bibie.. hebu nifanyie fikra mtoto wa mwanamke mwenzio.. usiku huu mrefu bibie.Umeanza
Madame S
Mimi sio mali ya umma [emoji23][emoji23][emoji23] mpnzi wangu anasoma maneno yako hapaUlichopewa na mungu kumnyima mwenzio vibaya hvyo bibie.. hebu nifanyie fikra mtoto wa mwanamke mwenzio.. usiku huu mrefu bibie.
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu sanaLeo nmeingia huku kwa mara ya kwanza, kumbe nyie makapuku mnatupia mapicha ya ukweli hivi
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Sasa bailly wa nini.. we nipe tu wacha roho ya ukwasi, kwani ukinipa unapungukiwa nini!!?
Mawe.. mie sio popoma kama hilo..Nahisi wewe hapo
Madame S
Bob has diabetes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mawe.. mie sio popoma kama hilo..
Tycoon MAKAVELI Jr.