Makapuku Forum

Wewe ulikula vitumbua vya lini mpaka ukasema hayo...

Mm na shunie kiukweli ni mke na mme mr ..apa nimeweka utan pemben

Kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu Mungu akiamua...through kapuku nimepata mke bora
Mimi kwanza nilikupongeza kwa kufunga safari kwenda lushoto na ukavumilia mazingira yale

Mke ulimpata kweli, kuhusu mimi sikusema chochote hata Madame s atanisaidia
 
Namba 8

Anonymous

Anonymous maana yake ni mtu au kitu kisichokuwa na utambulisho. Kitu kisichojulikana.

Hili ni group la hacker lilopewa jina la Digital Robin Hood . Hili group linafahamika sana kwa nembo yake ya kuvaa maski na kutabasamu.

Ni kundi ambalo limekuwa likijitangaza sana mbele ya umma na ulimwengu kwa ujumla.

Kundi hili nimefanya udukuzi na kuingilia mifumo ya computer nyingi za serikali ,FBI,CIA , paypal, Vatican, Mastercard, Sony,china ,Tunisia, Uganda, na Israel.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…