Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Pole shemsijui uchovu sijui kimalaria
Pole shemsijui uchovu sijui kimalaria
Hbd fundiiLeo katika Historia
1973 - Jay Jay Okocha anazaliwa.
Mwanasoka mahiri wa zamani wa Nigeria.
Uko poa lakinPole shem
Kafanyajee
Hatuwez jua labda mzee enzo alichepuka kidogoLeo katika Historia
1988 - Enzo Ferrari anafariki Dunia.
Ni mwanzilishi wa kampuni ya Magari ya Ferrari.
Anafanana sana na Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil.
Mwaka aliofariki Enzo Ferrari ndio mwaka aliozaliwa Ozil.
Leo katika Historia
1973 - Jay Jay Okocha anazaliwa.
Mwanasoka mahiri wa zamani wa Nigeria.
Hahaa... hapa mkuu, sijathubutu mdugu yangu.Mkuluuu uko poa ...
Nimeskip pages ...hujaingia kwenye anga zangu kweliii ??
Tuambizane make mm na binamu wangu hatunaga mbwembwe full kipapaiiiHahaa... hapa mkuu, sijathubutu mdugu yangu.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mie mtu safi bhana...Tuambizane make mm na binamu wangu hatunaga mbwembwe full kipapaiii
Leo katika Historia
1984 - Ni siku ya kuzaliwa ya beki kisiki Giorgio Chiellini.
Maarufu kama " Mti Mkavu " ni beki kisiki wa Juventus na Italy.
Abee
KiasiUko poa lakin
Leo katika Historia:
1989 - Ander Herrera anazaliwa.
Ni kiungo wa Man Utd na timu ya taifa ya Hispania.
Leo katika Historia
1988 - Enzo Ferrari anafariki Dunia.
Ni mwanzilishi wa kampuni ya Magari ya Ferrari.
Anafanana sana na Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil.
Mwaka aliofariki Enzo Ferrari ndio mwaka aliozaliwa Ozil.
Ni poa kabisaa, vipi wewe
Ahsante mdauSina la ziada,
Nawatakia wiki njema yenye furaha tele. .
Kwa udhamini mnono wa Ferrari tukutane tena Kesho.