Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia
1935 - Rais Franklin Roosevelt wa Marekani anasaini rasmi sheria ya kuwalipa mafao " Pensheni " wastaafu wa nchi hiyo.
.....
Leo katika Historia
1935 - Rais Franklin Roosevelt wa Marekani anasaini rasmi sheria ya kuwalipa mafao " Pensheni " wastaafu wa nchi hiyo.
Niliona hilo tukioUmtiti alimshika Ronaldo
Ila siyo penati na pia siyo yellow card (ikazaa red)
Refa kaharibu
.....
Asante ankali JJ kwa historiaSina la ziada,
Nawatakia wiki njema yenye furaha tele. .
Kwa udhamini mnono wa Ferrari tukutane tena Kesho.
Leo katika Historia
1945 - Japan yasaini na kukubali kushindwa kwake kwenye vita kuu ya pili ya Dunia na kufanya kumalizika rasmi kwa vita hiyo Duniani.
Asante kwa magazeti ankaliTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Chaplin
KaribuAsante kwa magazeti ankali
Asante sana UncleUf...![]()
Leo katika Historia
1947 - Pakistan yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
2/Abu Al--Qasim Mu Ammad Ibn Abd Allah![]()
![]()
![]()
Aliishi kati ya mwaka 570 hadi 673 na sijui kaburi lake mahali lilipo
Kwawasio waislamu Mtume Muhammad ndio mwanzilishi wa Uislamu ila kwa wenye dini yao wanaamini/wanasema hakuanzisha chochote ....mimi simo wanadai Uislamu ulikuwepo kabla yake
Sasa nafiki ushaelewa maana ya Allah Akbar
Ameabdikwa kwenye vitabu kibao idadi haijulikani
Anatafutwa kwa mwezi X 14,000,000 ila hata kapicha hakuna!!
.......
Leo katika Historia
1959 - Ligi ya " American Football " yaanzishwa rasmi huko Marekani.
Leo katika Historia
1971 - Ni siku ya Uhuru wa Bahrain.
Leo katika Historia
1994 - Ilich Ramirez Sanchez maarufu kama Carlos the Jackal anakamatwa.
Alikuwa ni mhalifu aliytafutwa sana na Serikali ya Ufaransa.
![]()
![]()
![]()
Tofauti na Osama bin Laden huyu jamaa alikuwa jeshi la mtu mmoja lenye mafanikio kwenye ugaidi
....
Leo katika Historia
2013 - Misri yatangaza hali ya hatari na Jeshi la nchi hiyo kuua mamia ya waandamanaji waliokuwa wanampinga Rais Mohammed Morsi.
Nasikia alienda kuongeza nguvu za kiume ndo akanaswaHatareee
:![]()
Mwisho wa siku kiburi kikaisha akaenda kunyea debe
....
Fresh tuGooooood morning pipo
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?