Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Karibuni tule
Haya shem 'niangusage'
Karibuni tule
Sasa semegi naona unataka niumbuke na hiyo lughaHaya shem 'niangusage'
Sasa semegi naona unataka niumbuke na hiyo lugha
Ooh kamwene. Njoo na kinywaji chakoHa ha haa Kamwene...kisarufi nimeweka quotation marks ('' .....'') kwa hiyo huwezi nitumbua!
poa..mambo vipi..Oyeee... Aje aje mkubwa.
Hifadhi anayo tayarimpe hifadhi pastor hutaki sadaka nini.
Mimi mzima kabisa Shemdarling.Mke mwenzangu hajambo?U mzima lakini?
Manuu na amazingReal love kwa nani vile?
miss you too, uko poaUmekuja bae. Miss you![]()
![]()
![]()
Niko poa baemiss you too, uko poa
Nao nadhai wako tyt kiaina ila watakuja...Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Mbona makamanda wa nguvu hawajitokezi humu mjengoni?
baridahNiko poa bae
Mambo mrembo?Sasa semegi naona unataka niumbuke na hiyo lugha
Safi bro, karibu kilingeni.poa..mambo vipi..
Si ile kauli ya Airtel!Akatwe nini![]()
![]()
![]()
Nini?Karibuni tule