Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shemeji jambilo ni ndugu yangu kabisa..please we mwelewe na urudi hme maana hata wewe umeniambia kuna vitu unavimiss kutoka kwake..Sasa ili usizidi kuzulumu nafsi rudi tu shemeji yangu..
Aje tu japokuwa nimegundua sio dadako bali ni ex wako na amekiri wakati huu alipoondoka kwangu mlikuwa mwakumbushia, aje nimemmiss
 
Aje tu japokuwa nimegundua sio dadako bali ni ex wako na amekiri wakati huu alipoondoka kwangu mlikuwa mwakumbushia, aje nimemmiss
Wewe ni ndugu yangu na ukikosa uhaminifu na mimi juu ya shemeji yangu Patience123 utakuwa umenikosea mno...Maana siku zote nilijitahidi kumfariji kwa Tenz na Zabur..Hakika inabdi unitake radhi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom