xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 May 3, 2016 #26,121 jambilo said: Huyo hapati mke hadi akatwe Click to expand... akatwe "GOVINDA"
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 3, 2016 #26,122 lil wayne said: Nimeuliza tu mpendwa! wala hukuwa na sababu ya kukwazika na post yangu. Nilihitaji tu kuelimishwa katika hili. Click to expand... Hujanikwaza nimekukumbusha tu kuwa hata wewe unaweza kuleta, peace and love Ila usisahau kuwa katika matokeo hayo Man united ndio inashine GGMU
lil wayne said: Nimeuliza tu mpendwa! wala hukuwa na sababu ya kukwazika na post yangu. Nilihitaji tu kuelimishwa katika hili. Click to expand... Hujanikwaza nimekukumbusha tu kuwa hata wewe unaweza kuleta, peace and love Ila usisahau kuwa katika matokeo hayo Man united ndio inashine GGMU
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 May 3, 2016 #26,123 Jimena said: Kumbe na wewe umemuona eeh! Huyo kaka angu ni shiiida sana Click to expand... paroko apitwi yuko vizuri.
Jimena said: Kumbe na wewe umemuona eeh! Huyo kaka angu ni shiiida sana Click to expand... paroko apitwi yuko vizuri.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 May 3, 2016 #26,124 xavia jr said: Paroko nae imani haba. Click to expand... Umeiona wapi hiyo imani? Unaona binti ananiganda nami namtolea nje, hiyo imani huoni iko juu!
xavia jr said: Paroko nae imani haba. Click to expand... Umeiona wapi hiyo imani? Unaona binti ananiganda nami namtolea nje, hiyo imani huoni iko juu!
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 May 3, 2016 #26,125 xavia jr said: mpe hifadhi pastor hutaki sadaka nini. Click to expand... Nimemtolea nje. Staki mke awe mpambe tu
xavia jr said: mpe hifadhi pastor hutaki sadaka nini. Click to expand... Nimemtolea nje. Staki mke awe mpambe tu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 May 3, 2016 #26,126 Jimena said: Kumbe na wewe umemuona eeh! Huyo kaka angu ni shiiida sana Click to expand... Nawe unaungana na adui zangu
Jimena said: Kumbe na wewe umemuona eeh! Huyo kaka angu ni shiiida sana Click to expand... Nawe unaungana na adui zangu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 3, 2016 #26,127 jambilo said: Nawe unaungana na adui zangu Click to expand... Kumbe watumishi pia mna maadui?? Ndio najua leo
jambilo said: Nawe unaungana na adui zangu Click to expand... Kumbe watumishi pia mna maadui?? Ndio najua leo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 May 3, 2016 #26,128 xavia jr said: paroko apitwi yuko vizuri. Click to expand... Mtumishi wa wote. Ww ukikataa mkeo atakuja hata kwa siri
xavia jr said: paroko apitwi yuko vizuri. Click to expand... Mtumishi wa wote. Ww ukikataa mkeo atakuja hata kwa siri
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 May 3, 2016 #26,129 Jimena said: Kumbe watumishi pia mna maadui?? Ndio najua leo Click to expand... Namaanisha wanichukiao yaani watumishi wa shetani tu
Jimena said: Kumbe watumishi pia mna maadui?? Ndio najua leo Click to expand... Namaanisha wanichukiao yaani watumishi wa shetani tu
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 May 3, 2016 #26,130 jambilo said: Nimemtolea nje. Staki mke awe mpambe tu Click to expand... utavunja amri ya 6 tu.
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 May 3, 2016 #26,131 jambilo said: Mtumishi wa wote. Ww ukikataa mkeo atakuja hata kwa siri Click to expand... ooooooooh paroko kidole na macho.
jambilo said: Mtumishi wa wote. Ww ukikataa mkeo atakuja hata kwa siri Click to expand... ooooooooh paroko kidole na macho.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 3, 2016 #26,132 Linamo said: Shwari kabisa Click to expand... U mzima lakini?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 3, 2016 #26,133 Wapendwa habari ya asubuhi!
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 3, 2016 #26,134 Linamo said: Kweli hii ni real love halafu watu Kama Youngblood wanataka kuharibu Click to expand... Real love kwa nani vile?
Linamo said: Kweli hii ni real love halafu watu Kama Youngblood wanataka kuharibu Click to expand... Real love kwa nani vile?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 3, 2016 #26,135 manuu said: Sister youngblood hatoweza maana bado anaheshima kiasi ila yeye na EMMYGUY watafikishana pabaya.... Click to expand... Braza, mie na Linamo tulikuwa wapenzi kabla na ndo maana unavyokuwa unatuona tunabishana chukulia kawaida sana.
manuu said: Sister youngblood hatoweza maana bado anaheshima kiasi ila yeye na EMMYGUY watafikishana pabaya.... Click to expand... Braza, mie na Linamo tulikuwa wapenzi kabla na ndo maana unavyokuwa unatuona tunabishana chukulia kawaida sana.
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 May 3, 2016 #26,136 EMMYGUY said: Wapendwa habari ya asubuhi! Click to expand... Poa sana kamanda..Adje?
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 May 3, 2016 #26,137 EMMYGUY said: Braza, mie na Linamo tulikuwa wapenzi kabla na ndo maana unavyokuwa unatuona tunabishana chukulia kawaida sana. Click to expand... Hapo nimekusoma mkuu si unajua Linamo dada angu damu damu kabisa..
EMMYGUY said: Braza, mie na Linamo tulikuwa wapenzi kabla na ndo maana unavyokuwa unatuona tunabishana chukulia kawaida sana. Click to expand... Hapo nimekusoma mkuu si unajua Linamo dada angu damu damu kabisa..
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 3, 2016 #26,138 jambilo said: Huyo hapati mke hadi akatwe Click to expand... Mbona Airtel hawakati?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 3, 2016 #26,139 manuu said: Poa sana kamanda..Adje? Click to expand... Salama kaka, nimetingwa na kazi sana.
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,787 Reaction score 10,394 May 3, 2016 #26,140 Bitoz said: ....... ....... ....... Click to expand... Ferguson alisema Leicester watachukua ubingwa kabla ya mechi mbili yametimia hongera yao.
Bitoz said: ....... ....... ....... Click to expand... Ferguson alisema Leicester watachukua ubingwa kabla ya mechi mbili yametimia hongera yao.