Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hakika utabaki kuwa dada nikupendae sana, nakupenda sana hata hakuna mfano wake, nikuonapo moyo wangu hujaa furaha ya ajabu. Dada naomba kesho asubuhi nikupeleke kazini, saa ya lunch ntakupitia tukale pamoja, na jioni pia tutarudi wote, au wasemaje dadangu mpendwa?
Hii ndio raha ya kua na kaka like you....

Wasio na kaka wabebe mbeleko[emoji108]
 
b48d258796e04821acabb1656891283e.jpg

[emoji638] :[emoji638]
Leicester BINGWA
EPL 2015/16
...................
 
Back
Top Bottom