Eehh.. inaitwa kukokotana style, huwez kulipenda jitu halielewek we unalijali lenyewe halina mpango, unafunga safar mpaka kwao ushachoma mafuta anakwambia sijiskii poa, huo si ni uwendawazi..
Na hakuna kosa kubwa kama adui yako kuliona choz lako.. usimuoneshe kama unaumia kwa mambo yake ya ajab umekwisha, anavimba bichwa hiloo kama dumu la lita 5