makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,550
- 108,809
[emoji23] [emoji23]Babu huo ugonjwa wa mapenzi achana nao kila mtu anaugulia kivyake moyoni mtu atajifanya jasiri nini lakini moyo ni kichaka anajua anavyoumia kuhusu mapenzi acha tu niyaamkie shikamoo mapenzi [emoji114]