Umefanya la maana
Siku nyingi nilishajiwekea nadhiri ya kutogombana na mtu Jf
Kama ananizingua namkwepa tu ila muda wa malumbano sina bora hata niutumie huo muda na bando kulisha bata
Aliwabeba saana.. ila aliwaponza siku wakala 4~1 kwa liverpool, waliongeza dakika nying utafkr kafa mtu uwanjan, matokeo yake ryan babel akaenda kupiga msumali wa mwisho