Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Alisema atarudi....Muite Mhuni kwanza aje nimuulize maswali
Alisema atarudi....Muite Mhuni kwanza aje nimuulize maswali
Hiyo ci naijua dada?Zaidi ya ile ya kumtoa nyoka pangoni sina nyingine
Unaaga sasa hivi unalala kweli au ndo yale mambo yako ya unaaga lakini bado tupo wote mpaka usiku wa manane??Usiku mwena jimena.
Nakupenda sana.
Nitafute mkuuKutokana na wimbi la watu wengi hususan vijana sasa kuagiza magari na vipuri vyake nje huku wakiacha yanayotengenezwa nchini na kiwanda chetu cha Nyumbu kilichopo Mkuza Kibaha ama kuchukua yaliyokwisha kutumika, wadau taratibu zikoje ukitaka kuagiza mtoto lainiii kutoka Ethiopia ama Jamaica kwa matumizi ya nyumbani? Gharama za usafirishaji zitakuwa kwa wakala wa forodha mimi nikakabidhiwe tu bandarini ...natanguliza shukrani!
Uwiiii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo nalala mapemaUnaaga sasa hivi unalala kweli au ndo yale mambo yako ya unaaga lakini bado tupo wote mpaka usiku wa manane??
uliitwa kuongea namm!Siongeagi na wasio tahiriwa
Aise! Kesho tena basiDada mimi ndio nimewasili home, asante kwa kampani yako, chakula ulicho chagua leo kilikuwa kitam sana. Usiku mwema
Hili laif letu na jimena hamuliwezi...tutabaki kuwa kaka+dada wapendanao, hata mkikuta twabadilishana makiss mjue cc ni ndg tuSi unaona sasa...nakupenda kaka, mara kakaaa alafu kimyaaa...
akirudi niite mkuuAlisema atarudi....
Mkuu kwa mara ya mwisho naomba uniambie kama wewe ni KE ili nianze kurusha nyavu.uliitwa kuongea namm!
Poa mkuu.akirudi niite mkuu
Hakika utabaki kuwa dada nikupendae sana, nakupenda sana hata hakuna mfano wake, nikuonapo moyo wangu hujaa furaha ya ajabu. Dada naomba kesho asubuhi nikupeleke kazini, saa ya lunch ntakupitia tukale pamoja, na jioni pia tutarudi wote, au wasemaje dadangu mpendwa?Aise! Kesho tena basi
Amenn unanipa wakati mgumu nahisi kukukosea funguka bathi!uliitwa kuongea namm!
Ujalala dada (himena)Unaaga sasa hivi unalala kweli au ndo yale mambo yako ya unaaga lakini bado tupo wote mpaka usiku wa manane??
Thanx my lovely dadaUsiku mwema kwenu wote
na wewe pia...Usiku mwema kwenu wote