Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mchungaji tafadhali.....Atakuwekea unga ukila moja unalala halafu atatimiza ile haja yake
Mchungaji tafadhali.....Atakuwekea unga ukila moja unalala halafu atatimiza ile haja yake
Hili ni dumeMhuni ni KE mkuu.
Hahaha.Nilimuuza kuwa wew uko tanga
Chua kavaa ngozi ya kondoodah ina maana ni mhuni kweli? lkn sura yake inashawishi mkuu wewe unaonaje.
Acha mambo ya ajabu mchungaji.Hili ni dume
mbona unanikata maini?Hili ni dume
Una sauti gani!Nasikia usingizi![]()
![]()
![]()
Itakuwa ngumu sanaLala kesho nitakusimulia.
Jamaa anakutisha ili achukue yeye.mbona unanikata maini?
Dada nakupendaNasikia usingizi![]()
![]()
![]()
Hapo sasa siwezi kukusaidia.Itakuwa ngumu sana
Zaidi ya ile ya kumtoa nyoka pangoni sina nyingineUna sauti gani!
Muite Mhuni kwanza aje nimuulize maswaliAcha mambo ya ajabu mchungaji.
Umeona wapi mwanaume ana midomo mizuri kiasi hiki.
Nakupenda pia kaka angu wa ukweeDada nakupenda
Dada mimi ndio nimewasili home, asante kwa kampani yako, chakula ulicho chagua leo kilikuwa kitam sana. Usiku mwemaHe hee ngoja nikuitie msukuma mwenzako Nyani mle nae
Basi sawaaaaHapo sasa siwezi kukusaidia.
Usiku mwena jimena.Basi sawaaaa