Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mhuni ni KE mkuu.duh jina haliendani na sura yako mkuu vipi wewe ni ME au KE.
Mhuni ni KE mkuu.duh jina haliendani na sura yako mkuu vipi wewe ni ME au KE.
dah ina maana ni mhuni kweli? lkn sura yake inashawishi mkuu wewe unaonaje.Mhuni ni KE mkuu.
Sina uhakika kam ni mhuni kweli.dah ina maana ni mhuni kweli? lkn sura yake inashawishi mkuu wewe unaonaje.
Hahahaha.![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Lala tu dear kesho pia ni siku.Nasikia usingizi![]()
![]()
![]()
Kabla sijashuhudia kipigo cha ze bluzi???Lala tu dear kesho pia ni siku.
Atakuwekea unga ukila moja unalala halafu atatimiza ile haja yakeTutumie machungwa.
He hee ngoja nikuitie msukuma mwenzako Nyani mle naeaah usinifanyie ivo, yani na google zote za "jinsi ya kupika ugali mtamu " ili ukija nikudatishe afu ndo unanikatisha tamaa mapema
"mwaka wa shetani"![]()
The Blauz:
Spurs
Ubingwa umehairishwa
..................
Hahahahaaa hatoweza.Atakuwekea unga ukila moja unalala halafu atatimiza ile haja yake
Hivi humu kuna mashabiki wa Chelsea!!!![]()
The Blauz:
Spurs
Ubingwa umehairishwa
..................
Lala kesho nitakusimulia.Kabla sijashuhudia kipigo cha ze bluzi???
Nilimuuza kuwa wew uko tangaTanga naenda jmosi.
Sijui"mwaka wa shetani"
Hivi humu kuna mashabiki wa Chelsea!!!
Siongeagi na wasio tahiriwaUsijal mrembo huyu mchungaji analaana ya kula sadaka.