shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Karibu ankali JJAsante kwa magazeti ankali ake!
Karibu ankali JJAsante kwa magazeti ankali ake!
AsanteKaribuni kwenye historia asubuhi ya leo ikiwa ni tarehe 9/8/2017
Ambayo italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini wa Chia seeds
![]()
Jipatie Chia seeds zako sasa kwa bei ya 10k
HBD Mario ZagalloLeo katika Historia
1931 - Mario Zagallo anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Brazil aliyeipa ubingwa wa Dunia wa 1970.
HBD Roy HodgsonLeo katika Historia
1947 - Roy Hodgson anazaliwa.
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England.
HBD Whitney HoustonLeo katika Historia
1962 - Whitney Houston anazaliwa.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki nchini Marekani.
Bitoz naomba uweke ile ngoma yake inayokwenda kwa jina la "Try it on my own" ili asubuhi iwe njema kabisa
Alifariki mwaka 2012.
HBD peopleLeo katika Hostoria
1963 - Filipo Inzaghi anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
RIP PatrickLeo katika Historia
1963 - Patrick Bouvier Kennedy anafariki.
Alikuwa ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy
Asante ankali JJ kwa historia bora kabisaLeo katika Historia:
Ni mwaka mmoja na miezi Minne ya Makapuku Forum.
Ilianzishwa tarehe 9/4/2016
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Asanteni wote kwa kuijenga familia hii bora kabisa hapa JF
Cc @bailey