Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Shunie mzima kabisa anawasalimie sana sema si unajua majukumu ya familia inabidi aweke sawa mambo
Niliambiwa wewe ndo shemela kwa jimena ....
Ndukiiiiii
Shunie mzima kabisa anawasalimie sana sema si unajua majukumu ya familia inabidi aweke sawa mambo
Sasa ningekuwa na mke bosi wa un leo angekiona cha mtema kuni wao si wanaona choo muhimu kuliko sisi, ningemfungia toilet siku nzima, na kulala angelala huko huko, sasa sijui atakumbatia sinki la choo, akome na ajue umihimu wetu..Wasamehe mkulu
Morning too, uko poa lakini
Hahaa... hapana bhana, we khabar hizi kakupa nani!?Shunie mzima kabisa anawasalimie sana sema si unajua majukumu ya familia inabidi aweke sawa mambo
Niliambiwa wewe ndo shemela kwa jimena ....
Ndukiiiiii
Utakubaliii ulale na mto ?? Au fanya hivi wakimbizi si wapo chini ya UN opoa mmoja alafu mtolee mfanoSasa ningekuwa na mke bosi wa un leo angekiona cha mtema kuni wao si wanaona choo muhimu kuliko sisi, ningemfungia toilet siku nzima, na kulala angelala huko huko, sasa sijui atakumbatia sinki la choo, akome na ajue umihimu wetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezipata kwenye rada za informer wetub
Kulala na mto ntalala nao ila yeye ataipata joto ya jiwe huko toilet.. mpaka akiri km sisi muhimu ndio atatokaUtakubaliii ulale na mto ?? Au fanya hivi wakimbizi si wapo chini ya UN opoa mmoja alafu mtolee mfano
Hakuna ubaya ila informe wenu amewapa information za uongo mkulu.Nimezipata kwenye rada za informer wetub
Kwani kuna ubaya ??
Ila walitukosea sana Shubaaaaamiiiitiiiii kuku mandaziiii ya donaKulala na mto ntalala nao ila yeye ataipata joto ya jiwe huko toilet.. mpaka akiri km sisi muhimu ndio atatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
KwemaaNiajeeeeee...
Nyama hawaIla walitukosea sana Shubaaaaamiiiitiiiii kuku mandaziiii ya dona
Kwanii utaki kupata zile seed zakeHakuna ubaya ila informe wenu amewapa information za uongo mkulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sambusa majiii
Kwemaa
Kumbeee