Makapuku Forum

Makapuku Forum

7642d8ccda90395d200c9490d2f957f6.jpg
biashsra
 
TUKIO HALISI LA WIZI LILILOISHANGAZA DUNIA.

MWISHO......

Baada ya serikali kutoa majibu kua kumpata bwana cooper sio hapa Duniani labda tukikutana kw BABA ( mbinguni)
Maana ikiwa aliiba pesa akiwa mfano akiwa na miaka 35 jumlisha Leo atakua na miaka mingapi?. Mtamtafuta babu cooper au bwana Dan cooper?.

tena kw heshima ya huyu kiumbe kikatengengezwa kifaa maalum ambacho kinaweza kuzuia mlango Wa nyuma ya ndege ili km mtu akitaka kuruka kuwe na uwezekano Wa kuzuia mlango.

Kw heshima kifaa hicho kikaitwa COOPER VENER. pia walirekebisha ndege zote kue na uwezekano Wa marubani kuona kinachoendelea upande Wa abilia sio kujifungia km zamani.

Vilevile jambo kubwa jingine mmiliki Wa kiwanda alietengeneza zile parachuti alikuja kuuawa baada ya kujiingiza ktk kesi hiyo na kusema atampata bwana Dan cooper.

Aliuawa ktk mazingira ya kutatanisha na mpaka Leo muuaji hajulikani. Kupitia hayo na mengine mengi ambayo sijayaandika nimefupisha tuu. Bwana kopa (SHIKAMOOO!!!!)

Hatimae tarehe 14/7/2016 yaani mwaka Jana, shirika la upelelezi la FBI walifunga jalada la kesi ya cooper wao kw mikono yao bila kushawishiwa na mtu na wakiwa na akili timamu. Kesi ikafutwa kote.

...Walivunja pia kikosi kazi maalum cha kuchunguza tukio la cooper. (COOPER RESECH TEAM). kw madai kua hakukua na dalili zozote za hitimisho la upelelezi huo.

Walifunga majalada roho zikiwa zinawauma tangu 1971 mpaka 2016 ni miaka 45, yaani waliokua maafisa Wazee FBI walikufa na wengine wamezaliwa na kuingia kupeleleza na sasa ivi NIWAHENGA na wao. ila bwana Dan cooper hajulikani yupo sayari gani.


Hawajui yupo hai au alifariki, hawajui km jina lake ni halisi au alibuni. Hawafahamu km pesa alizopewa zilitowekea sayari gani maana hata wakizipata zilishakua za zamani hazitumiki tena. (Zilipendwa).

Yeye amewekwa kua Binadamu Wa kwanza kutekeleza tukio la DUNIA nzima akiwa peke yake na kufanikiwa kw asilimia 100.

Tukio lake limeingia kwnye kumbukumbu ya shirika la FBI km kesi iliyotumia muda mrefu zaidi DUNIANI miaka (45) sio poa.

Tukio hili limeingia kwnye historia ya inchi ya marekani km tukio pekee la utekaji Wa anga (hijacking) ambalo limeshindikana mpaka kesho.

Wanaoigiza majambazi ktk filamu, wapo wanaotumia majina ya cooper ila huakikisha mwishoni wanakamatwa. Jifanye hujakamatwa uone nani atahalili hiyo muvi. (Unaweza kufungwa maisha badala kufidia yeye). Mfano aliejiita cooper kwnye prison bleck alishikwa.

MWISHO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom