Makapuku Forum

Aisee
 
 
5/Gerald Ford Alizaliwa mwaka 1913 na kufariki dunia 2006
Alichukua madaraka kutoka kwa Richard Nixon aliyejiuzulu kwa hiyari kufuatia kuvuja kwa kashfa ya Watergate ambaye hadi leo bado ni kaa la moto kwenye historia ya Marekani wakati huku kwetu kuna kashfa za kibwege bwege na kiki kama vile ESCROW .EPA na Richmond ambazo uwajibikaji wa marais wala hatuhusikii ila milunzi inapigw tu kila siku
Huyu alikuta nchi ikiwa hovyo na mambo ya Cold War na kushindwa kuiweka kwenye mstari
Kilichomponza ni mfumuko wa bei na kuporomoka kwa uchumi hivyo wananchi kupiga miayo kama paka na mwisho wa siku mzigo akabebeshwa yeye
Alikaa madarakani kuanzia mwaka 1974 hadi 1977

Yaani aliogelea swimming pool White House kwa siku 895
......
 
4/Warren G Harding AliAliwa mwaka 1865 na kufariki dunia mwaka 1923
Huyu alifariki akiwa madarakani kutumikia muhula wake wa kwanza
Kabla ya kifo chake alikuwa mstari wa mbele kurejea amani katika nchi za Austria na Ujerumani kutokana na Vita Kuu ya kwanza ya dunia
Naye alipitisha sheria kibao nzuri pamoja na za kidwanzi kama vile Sheria ya Uhamiaji na Sheria ya Radio na mawasiliano kama za jamaa wa TCRA bila kusahau kukamuana kodi kama Sizonje na mitambo yake ya EFD
Aliiongoza Marekani kuanzia mwaka 1921 Machi 4hadi alipofariki dunia Agosti 2 1923

Yaani alitawala siku 881 tu
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…