Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Utakuja kunichukua eeehhHaya haya....
Pamoja na yote hayo... leo uje ulale kwa babu yako.
Utakuja kunichukua eeehhHaya haya....
Pamoja na yote hayo... leo uje ulale kwa babu yako.
Ile Noah ya Makinikia haijafika bado. Ntakutumia ile bajaji niliyonunua kwa hela ya pensheniUtakuja kunichukua eeehh
EwaaaIle Noah ya Makinikia haijafika bado. Ntakutumia ile bajaji niliyonunua kwa hela ya pensheni
Ila usisahau kuchukua ukwaju. Leo nahitaji juice ya ukwajuEwaaa
Sawa babu akee mieeeIla usisahau kuchukua ukwaju. Leo nahitaji juice ya ukwaju
Sasa dada mpaka nimekuletea wifi bado sijakua tu?Ukiwa mtu Mzima Utaelewa tuu
Umeweza[emoji4] [emoji4] mi nimejaribu
Sio pesa tuNa pesa zenye anazo
Unaweza kuwa baba lakini ni hohe hahe tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Nipe zawadii
Sawa mkuu![]()
Technology is the worst thing that dumb people will never understand its impact..
And If you are involved in any of today's telecom devices, play safe with strangers..
A day can turn dark .
Tufanye utafitiLabda
[emoji106]
[emoji1] labda
PoaBaadae
Hilo niachie mimi tutakuwa makini[emoji23][emoji23] mpitie tu kwa kweli mkaangalie mnakotaka ila muwe makini eeh
Madame S
Sijasema lakiniJogoo hawiki
Shemela kwemaHajambo kabisa
Anajipanga panga hapa
Kuanza rasmi maisha ya double
Fungate limekwisha
Mke mweee kwema[emoji8][emoji8][emoji8]
ShikamooooAchana nalo
C ndo maana tunakasifia Obe amekarandisha mke mweee[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mtu na mkewe ni wachokozi huyo ndio mtoto wa binamu obe na mpendwa wake
Ninawaamini [emoji120][emoji120] arudi kama atakavyoondokaHilo niachie mimi tutakuwa makini
Hujaliona hapo kwenye hizo msg? My........ Mimi siwezi kumalizia bhana.Tusi liko wapi?![]()
Babu umeadimikaSwalama kabisaaaaa mjukuu Mkwe