Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mimi sio mbishi..!Ila we ni mbishi T jamaan
Pole mume wangu... Chai iko tayari, ndo nakuandalia maji ya kuogaMalizia kuandaa chai basi..
Mimi uwanja huku uko saaafi kabisaa
Mmh nitamwambia awe makiniNikibahatisha pasword atakoma
Si jana hiyoo tena kwenye txt...ebu acha mambo mbona jana tulichat vizuri nikikumbuka nacheka sana
Yupo kitambo ata kabla ya hii yangu mpya alikuwa anaitumia ya mwanzo ..wachache wanaoweza kuona tofaut yangu na yeye kimaandishiTayari mkuu..
Asante kwa kumlete dogo kf
Mbona unatukana tena Linamo?
Apate mke na yeye shem wanguTayari mkuu..
Asante kwa kumlete dogo kf
Great!Yaaap at time niko porin alikuwa anaingia with my id hii ndo maana kapuku anaweza kuendana na sisi
Na yule vipiPole mume wangu... Chai iko tayari, ndo nakuandalia maji ya kuoga
Picha jamanPole mume wangu... Chai iko tayari, ndo nakuandalia maji ya kuoga
Si jana hiyoo tena kwenye txt...



kwahiyo tukikutana jf mnuno unaendelea dada sio mzima ujue baba d ebu njo tuombe msamaha hivi unajua kama tumenuniwa jf
Nitag jamaniiiiPicha jaman
Baba yote ya nini lakini baba dYaaap at time niko porin alikuwa anaingia with my id hii ndo maana kapuku anaweza kuendana na sisi
Msamaha wa ninikwahiyo tukikutana jf mnuno unaendelea dada sio mzima ujue baba d ebu njo tuombe msamaha hivi unajua kama tumenuniwa jf
PoaNa yule vipi