Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Tuombe msamaha ujue tumenuniwa jf na sakayoNa yule vipi
Tuombe msamaha ujue tumenuniwa jf na sakayoNa yule vipi
If it real komaa mkuu..Mamaa nipo kwenye ka tuition ka kujifubza kichina..
聖裡卝了為鍤衫之好
Angalia pm Kuna pichaPicha jaman
Kwa hiyo T anayezidiwa na mr Bean ndo unamdanganya uku kapuku
Sawakwahiyo tukikutana jf mnuno unaendelea dada sio mzima ujue baba d ebu njo tuombe msamaha hivi unajua kama tumenuniwa jf
Shem..usiniambie mnuno jf unaendelea ila kule naamshwa sa 10 alfajir
HahaaTatizo naogopa shobooooo![]()
![]()
Kisa babu au daby??Tuombe msamaha ujue tumenuniwa jf na sakayo
Anasema tulimchochea juzi kwenye ule uzi wa muosha rungu tuombe tu msamaha baba dMsamaha wa nini
Kufanya niniShem..
Unaweza kuja pm kidogo..?
Amini laaziziNgumu sana kuamini
Hakuna hivi tumeanza lini kutaniana kwenye mambo ya msingiAngalia pm Kuna picha
Love you utamu wanguPole mume wangu... Chai iko tayari, ndo nakuandalia maji ya kuoga
Akamnuniee babu wakeeAnasema tulimchochea juzi kwenye ule uzi wa muosha rungu tuombe tu msamaha baba d
ShemShem..
Unaweza kuja pm kidogo..?
siwezi jaman kuna nini tenaShunie na baba D wake ndio wanajua hivyoSawa boo lakini leo ni Simba day
Anasema tulimfanyia uchochezi sijuiKisa babu au daby??
Emojiiiiii jamaniiiii
Huoni pic niko na T kweeeliHakuna hivi tumeanza lini kutaniana kwenye mambo ya msingi
Haswaa,Hakika najua wewe si wa hivi
Mimi haliniuhusu sana...Yupo kitambo ata kabla ya hii yangu mpya alikuwa anaitumia ya mwanzo ..wachache wanaoweza kuona tofaut yangu na yeye kimaandishi